BIO - COW BOY BISHOO

Breaking

BIO

Jina langu Festo Baria lakini La Entertainment Naitwa 

Cow Boy   Bishoo Au 

Mrconection Nimezaliwa Mwaka 1995 Mkoani 

Dodoma Hosptal Ya BenjaminiMkapa ni Mtoto 

wa 3 Kwetu Baada Ya Daangu Na Kakaangu 

Pia Naawachia Wadogo zanguWawili Website 

Blogs Nimeanza Mwaka2012 Mwishoni 

Kuelekea 2013 Nilianzia jijini Dar es salaam 

NaNdo Mahali Ambapo Naishi Mbaka Sasa

Ukiachana na Blogs Pia Ni Mtangazaji Wa Tv And 

Radio Nna Uzoefu Ttuseme Ni Talent 

Upcoming Star Napenda Kujiita Code NdavaNdo Aka Yangu                                         

                                         #SHORT SHORY     

   
      

No comments:

Post a Comment