Stori: Waandishi Wetu
KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth,
amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake.

Mbwa wa mzungu waliotakiwa kufanya mapenzi na hausigeli. Mmiliki wa nyumba hiyo anayeishi Kigamboni, Mr. Cris alipoulizwa kuhusiana na ishu hiyo, alikiri kupokea malalamiko na manyanyaso kutoka kwa Aneth.
Akisimulia zaidi maisha anayoishi na Mzungu huyo, Aneth alisema: “Alikuwa akinitafutia sababu za kunitimua kwani hivi karibuni kwa bahati mbaya nilipoteza ufunguo wa ndani, akanipiga mateke na kunisababishia maumivu makali mwilini kiasi cha kushindwa kutembea.
“Lakini lililoniuma zaidi ni hili la kunilazimisha eti nifanye mapenzi na mbwa wake, amekuwa akifanya hivyo mara kwa mara mimi nikaona siyo sawa na nilipokataa ndipo yakanikuta hayo.”
Aneth aliripoti matukio hayo katika Kituo Kidogo cha Polisi Tabata na kupewa fomu ya matibabu (PF-3) sambamba na kufunguliwa jalada la kesi namba TBT/RB/3132/2014/ SHAMBULIO na jalada la uchunguzi lenye namba TBT/IR/1829/2014/UCHUNGUZI.

No comments:
Post a Comment