Hivi Ndivyo Trend Ya#Suarezing Ilivyo Kuwa Kubwa Mtandaoni click Angalia Picha - COW BOY BISHOO

Breaking

Monday, 30 June 2014

Hivi Ndivyo Trend Ya#Suarezing Ilivyo Kuwa Kubwa Mtandaoni click Angalia Picha

 Baada ya kumng’ata mchezaji mwenzake, Luis Suarez amegeuka kuwa mchezaji anayetrend sana au anayezungumziwa sana kupitia mtandao wa Twitter kwa kutumia hashtag ya #Suarezing huku ikiambatana na picha mbalimbali zilizotengenezwa za kumtania mchezaji huyo kwa kitendo alichofanya.
 Tangu mchezaji huyo wa Uruguay apewe adhabu ya kufungiwa kwa kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini amekuwa akimake headlines kila kukicha katika mitandao haswa Twitter.
Add caption

No comments:

Post a Comment