Marekani imeiwekea Uganda vikwazo kwa kupitisha sheria zinazopinga mapenzi ya jinsia moja katika taifa hilo.
Inasema vikwazo hivyo vitajumuisha marufuku ya wanaharakati waliopigia debe sheria hiyo kupitishwa kutoingia Marekani.
Ikulu ya nchi hiyo pia imesema itapunguza misaada kwa miradi kadhaa
inayofanya kwa msaada wa Marekani kwa mamlaka za Uganda na kufuta
mazoezi ya kijeshi kati ya Uganda na Marekani.
Uganda imesema haitashinikizwa na nchi za Magharibi kwa ajili ya
kubadilisha sheria zake zinazowafanya watakaokutwa na hatia ya kushiriki
mapenzi ya jinsia moja kufungwa jela maisha.
Sheria hiyo iliyosainiwa mwezi February inaruhusu kifungo cha maisha
kwa watakaokutwa na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na kufanya
kuwa uhalifu vitendo vyote vinavyohusiana na mapenzi ya jinsia moja.
Friday, 20 June 2014
New
JUA KUHUSU MAREKANI KUIWEKEA VIKWAZO UGANDA BAADA YA KUPINGA USHOGA SOMA NDANI..........
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment