Mtayarishaji wa muziki Tanzania Luciano Lucci Tsere aka Lucci Da Don
ameamua kufunguka na kuhoji juu ya anavyouchukulia uamuzi mzuri wa rais
Jakaya Kikwete kumleta mwanamuziki Usher Raymond pamoja na Terrence J
Tanzania kwa ajili ya kutoa semina kwa wanamuziki wa Tanzania kuhusu
muziki.
Lucci ameandika kupitia Twitter ambapo alianza kwa kumpongeza rais
Kikwete lakini hakusita kusema kuwa ana maswali kadhaa kuhusu hatua
hiyo.
“Big up to you Mheshimiwa Rais @jmkikwete for the effort you are making for our nation’s artists. However; I have a few queries”
No comments:
Post a Comment