PICHA ASKARI FEKI WALIO KAMATWA RINGA SOMA NDANI - COW BOY BISHOO

Breaking

Wednesday, 4 June 2014

PICHA ASKARI FEKI WALIO KAMATWA RINGA SOMA NDANI


Hii ni tabia iliyoibuka Tanzania miaka kadha nyuma na baadhi ya raia wamekuwa wakilalamika kuwa ipo siku italeta madhara makubwa zaidi. Kama raia wangekuwa na elimu kuhusu sheria na haki zao basi wasingedanganyika na askari feki ambao inasemekana faida yao ni rushwa wanayopokea baada ya kumtishia raia kuhusu kosa flani.
Ukizingatia askari feki hawezi kukupeleka kituo cha polisi au kufungua kesi dhidi yako sababu hatambuliki.
Hii imetoke Iringa ambapo Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Kamanda Ramadhan Mungi amethibitisha kukamatwa kwa maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro , kulia ni Bazil Nyakunga ambae ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bossi wake Godlack Mbehale.

No comments:

Post a Comment