T.I amekutwa mtaani akaulizwa kuhusu yeye na Mayweather, majibu yake yako hapa - COW BOY BISHOO

Breaking

Wednesday, 4 June 2014

T.I amekutwa mtaani akaulizwa kuhusu yeye na Mayweather, majibu yake yako hapa


Ishu ya ugomvi au kutoelewana kati ya rapper T.I na bondia Floyd Mayweather kisa Mayweather kuhusishwa na ishu ya kulala na mke wa T.I. !! leo imepata headline nyingine baada ya T.I kuhojiwa akiwa anatembea town. Kwa ufupi ameonekana kukanusha kuyatambua mambo kadhaa yaliyotokea na kusisitiza ameshafunga mjadala wa kuongelea ishu yake na Mayweather, hakuna ugomvi kati yao

No comments:

Post a Comment