Polisi nchini kenya wamemtia mbaroni gavana wa jimbo la Lamu, Kenya
lililokumbwa na mapigano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 65.
Polisi wanamshika Issa Timamy, kufuatia tuhuma za kuhusika na
mashambulizi yaliyotokea Mpeketoni mapema mwezi huu ambapo anatarajiwa
kufikishwa mahakamani mjini Mombasa leo.
Baada ya tukio hilo kutokea, Rais Uhuru Kenyatta kupitia hotuba yake kwa
wananchi alikana madai kuwa shambulizi hilo ilikuwa la kigaidi
lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Al shabab na kusema kuwa
linahusisha misingi ya kikabila na kisiasa.
Thursday, 26 June 2014
New
UMESKIA KUHUSU KUKAMATWA KWA GAVANA WA LAMU,KENYA KUFUATIA MAUAJI MPEKETONI SOMA NDANI
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment