Hili hapa eneo jingine kuhalalisha matumizi ya Bangi.Soma Zaid Kujua - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday, 8 July 2014

Hili hapa eneo jingine kuhalalisha matumizi ya Bangi.Soma Zaid Kujua

Unaambiwa Matumizi ya Bangi kama kiburudisho yamehalalishwa kutumika kwenye jimbo la Washington nchini Marekani.
Washington ni jimbo la pili nchini Marekani kuhalalisha Bangi baada ya Colorado ambako jimbo hilo linajipatia mamilioni ya dola kila mwezi kwa ushuru unaokusanywa kwa biashara za Bangi kwa wanaoitumia kujiburudisha.

 Kwa sasa ni maduka 25 pekee yaliyoruhusiwa kuuza Bangi ingawa wadau wanaamini kuwa idadi ya maduka huenda ikaongezaka na kufika miamoja katika sehemu zingine za Marekani, majimbo 23 yanaruhusu matumizi ya Bangi kwa sababu za kimatibabu.

No comments:

Post a Comment