Rapper Joh Makini kutoka kwenye Kundi bora la hiphop Tanzania "Weusi"
amefunguka kuwa Lugha ya kiswahili ni lugha yenye mvuto na tamu kwa
msikilizaji wa muziki wa HipHop, na ni rahisi kupangilia vina vyake
kwenye Tungo za Rap tofauti na lugha nyingine zenye asili ya Afrika, so
akasema Kiswahili ni namba moja Afrika na inafatiwa na Kizulu
kinachozungumzwa nchini Afrika kusini, Joh Makini akaongeza kuwa kidunia
Lugha inayoongoza kwenye Rap ni Kiingereza ikifuatiwa na Kiswahili
kinachozungumzwa zaidi nchini Tanzania na nchi za Afrika Mashariki kama
Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo n.k kwa hiyo wasanii wasanii wa
Tanzania waheshimu lugha hii
Tuesday, 8 July 2014
New
JOH MAKINI: KISWAHILI NI NAMBA MOJA KWENYE HIPHOP BARANI AFRIKA
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment