
Mwimbaji huyo wa kike aliandika kwenye post ya TID aliyokuwa ameiweka kwa lengo la kutambulisha wimbo wake uliofanyiwa Refix na Lamar, wimbo unaitwa ASHA.
“Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.”
Katika hali ambayo wengi hawakuitegemea, TID alimjibu kwa lugha ya matusi akimtaka akae mbali nae na kama anataka kusaidia amsaidie boyfriend wake.
“Bch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you. Ur mistake is urs nakuomba can u just fk off, help ur boyfriend, I have never liked you, full stop.”Ingawa haijathibishwa lengo la Ray C kutaka kuongea na TID, inawezekana TID alimuelewa lengo lake moja kwa moja. na kutokana na maelezo yake wengi wanaamini labda TID alijua Ray C anataka kuzungumza nae kuhusu masuala ya dawa za kulevya na matumizi ya Methadone. MAONI APO CHINI


No comments:
Post a Comment