Mistari Ya Wimbo Mpya Wa Bob Junior Inayorusha Kombora Kwa ‘Micharazo’click Kujua - COW BOY BISHOO

Breaking

Thursday, 10 July 2014

Mistari Ya Wimbo Mpya Wa Bob Junior Inayorusha Kombora Kwa ‘Micharazo’click Kujua

 Leo Bob Junior ametambulisha rasmi kundi lake la Team Sharobaro ambalo linaundwa na Bonge la Nyau, Rapper Kinyozi, Bi Shop Mapoz, Alinda (First Lady wa Sharobaro), na yeye mwenyewe.
Utambulisho wa Team Sharobaro umefanyika katika kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio ambapo kundi hilo limeutambulisha pia wimbo wao mpya unaoitwa Alele.
Bob Junior ameeleza kuwa katika wimbo huo pia lipo jibu lake kwa Mr Blue ambaye alikaririwa akisema kuwa hakuna Masharobaro hivi sasa.
“Hakuna mwandiko wa wima wala wa ‘micharazo hapa’…”
Soon utaupata wimbo huo hapa www.cowboybishootz.com.

No comments:

Post a Comment