Msanii wa Bongo flava Nurdin Bilal a.k.a Sheta baada ya kuwekeza karibu
milioni 25 kwenye utengenezaji wa Video ya wimbo wa "Kerewa" aliyoifanya
chini ya Director mkubwa Afrika "God Father" mwenye makazi yake nchini
Afrika ya Kusini, Sheta anasema hajutii pesa yake ama mtonyo wake
kutokana na Ubora wa kazi yenyewe na pili hivi karibuni baada ya kurudi
bongo aliitwa na kampuni ya Spice Mobile na wakaingia mkataba mnono na
kampuni hiyo itumie video hiyo kibiashara hasa kwenye mitandao na Sheta
akapewa milioni 10 kama Advance na baada ya hapo atapewa pesa nyingine
baadae.
Sheta anasema alipewa ushauri wa kuwekeza kwenye video kutoka kwa msanii
mwenzake (Diamond Platnumz) awali alikua mzito kwasababu alikua
hajawahi kufanya hivyo baadae akajikaza kisabuni pamja nawadau wake na
kukwea pipa kuelekea kwa mzee Madiba na matunda yake ameanza kuyaona
mapemaaaaaaaa
Saturday, 5 July 2014
New
SHETA: HAJUTII KUWEKEZA MILIONI 25 KWENYE VIDEO YA KEREWA SOMA ZAIDI
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment