Fiesta ni tamasha linalowakutanisha wasanii mbalimbali wa ndani na
nje ya Tanzania kwenye msimu wa mafanikio pamoja na mashabiki wao kila
mwaka ambapo kwa mwaka huu kuna mikoa kadhaa imeongezeka.
Kupitia show ya XXL, Sebastian Maganga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati
ya Fiesta 2014 amesema mwaka huu kuna mikoa minne imeongezeka lakini
kwa utangulizi kwa kanda ya ziwa imeongezeka Kahama na Bukoba.
Fiesta 2014 itaanzia Mwanza August 09 kisha wiki ya pili ni Bukoba
ambayo itakua August 15 na Kahama August 17 baada ya hapo ni Musoma
August 22 na Fiesta 2014 kwa kanda ya ziwa itamaliziwa Shinyanga Mjini
August 24.
SERENGETI 2014 TUPO PAMOJA, SAMBAZA UPENDO.. NI SHEEEEDAH.
Thursday, 24 July 2014
New
Soma Kujua Ratiba ya Serengeti Fiesta 2014 imetoka ndugu

About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment