![]() |
| Nikki Mbishi Na Mtoto Wake Wa Pili Nathan |
Mtoto Wa Pili Wa Nikki Mbishi ‘Nathan’Rapper Nikki Mbishi anayefahamika pia kama Baba Malcom amebarikiwa kupata mtoto wa pili. Nikki amempa mtoto wake wa pili ambaye ni wa Kiume jina la Nathan. Sasa Nikki Mbishi ana watoto wawili, Malcom Na Nathan. #HongeraNikki


No comments:
Post a Comment