Hawa ndio wanawake 9 aliwahi kuhusika nao mapenzini waziwazi na wengine zilibaki kuwa tetesi.
Huyu ni video model Karrine Steffans ambaye alikuwa na uhusiano wa wazi kabisa na Lil Wayne
Skyler Diggins zilikuwa ni tetesi kwamba ana uhusiano na Lil Wayne
Rapper Trina aliwahi kuwa na uhusiano na Weezy hadi aliwahi kupata ujauzito wake lakini bahati mbaya ujauzito uliharibika.
Uhusiano wa Lil Wayne na muigizaji Lauren London ulileta matunda ya mtoto Cameron Carter

Actress Megan Good alikuwa kwenye uhusiano na Weezy kwa muda wa miaka 3
Lil Wayne alimvisha hadi pete Nivea mwaka 2002
Huyu ni mama wa mtoto wa kwanza wa Wayne anaitwa Reginae
Hivi sasa tetesi za Lil Wyne kuwa mapenzini na huyu Christina Milian ndio zinamiliki headlines
Adrienne Bosh alikuwa na mapenzini na Lil Wayne kabla hajaolewa na mcheza kikapu Chris Bosh
No comments:
Post a Comment