Fahamu Mtitu ajivua rasmi uongozi wa Bongo Movie Clik Picha Kusoma Kamili - COW BOY BISHOO

Breaking

Sunday, 17 August 2014

Fahamu Mtitu ajivua rasmi uongozi wa Bongo Movie Clik Picha Kusoma Kamili

Kupitia Instagram kwenye Account ya William Mtitu ameandika kuwa ameamua kujivua rasmi uongozi wa Club ya Bongo Movie. Mtitu amesema Nanukuu...
"Kwa kulinda heshima yangu binafsi nayakampuni yangu nimeona mimi kama MTITU nijivue rasmi leo nafasi ya uongozi na nitabaki kuwa kama mwanachama wa kawaida wa CLUB ya bongo movie sababu kiukweli SIPENDEZWI kwa asilimia kubwa na jinsi club inavyoendeshwa na sioni kama tunaelekea popote badala yake club imekuwa ni sehemu ya baadhi yetu kujipatia mkate wa kila siku kwa kutumia JINA LA CLUB ...kitu ambacho SIKUBALIANi NACHO. Na ikumbukwe sina ugomvi wala chuki na mtu yeyote ndani ya bongo movie.... Wacha maisha yaendelea kama zamani.. Nawatakia wèek end njema... @all 16.08.2014"

No comments:

Post a Comment