Rapper wa kundi la Nako 2 Nako Soldiers na member wa kampuni ya
Weusi, anatarajia kurejea tena hewani hivi karibuni baada ya kumaliza
tofauti zake na uongozi wa Weusi.
Miezi kadhaa iliyopita, rapper huyo alisimamishwa kwenye kampuni ya
Weusi kutokana na kukiuka maadili kwa kushutumiwa kuhusika katika tukio
la wizi. Rapper huyo amesema mashabiki wake watarajie ngoma yake mpya
iliyotayarishwa na producer wa B Records, Chizan Brain.
“Nina mawe kama manne hivi nimeshapika na maraia kibao lakini ngoma zangu,” amesema rapper huyo.
Hivi karibuni kupitia Kikaango cha East Africa TV, msemaji wa Weusi, Nicki wa Pili alithibitisha kurejeshwa kundini kwa Lord Eyez akisema kuwa katiba ya Weusi inasema watu watano ndio wanaounda kampuni hiyo.
Monday, 18 August 2014
New
Lord Eyez azungumzia ujio wake mpya baada ya kurudishwa Weusi
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment