MATUKIO,,Mke Na ;Mama Watoto Wa Afande Sele Asha Mohamed Shengo Afariki Dunia. - COW BOY BISHOO

Breaking

Thursday, 14 August 2014

MATUKIO,,Mke Na ;Mama Watoto Wa Afande Sele Asha Mohamed Shengo Afariki Dunia.



Msanii wa Hiphop Tanzania Afande Sele Afiwa na mama mtoto wake, Asubuhi ya kuamkia August 14 2014, Afande Sele aliweka ujumbe kuhusu taarifa hizi “Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda/Mama Sanaa) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.”
Ujumbe huu uliambatana na Hii picha ya familia yake.
Kabla ya kifo chake Afande alifarakana na mke wake na walikuwa wakiishi sehemu tofauti, wana watoto wawili  Tunda ambaye yuko kidato cha pili na Sana mwenye miaka 2.
Msiba upo Morogoro Mtaa wa Amani kwa Wazazi Wa Asha mohamed Shengo. Asha amezaliwa May 21 1981, Aliishi na Afande kwa miaka 16,Afande Sele ameniambia Asha aliugua malaria siku moja kabla ya kifo  BOY chake.                                            COW BOY BISHOO TZ INAMPA POLE AFANDE SELE NA FAMILIA YAKE

No comments:

Post a Comment