Ramadhani Mohamed wa kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar
es Salaam akionesha umahiri wake wa kudansi wakati wa mazoezi yao ya
kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13
mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo
limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi
la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza
wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali
ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja
vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers”
Mabibo jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa
nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na
Vodacom Tanzania litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja
vya Don Bosco Oysterbay .
Mshiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” la
Mabibo jijini Dar es Salaam Mstafa Yahaya akionesha umahiri wake wa
kudansi wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano
hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco
Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina
Nkurlu(kushoto)akiongea na baadhi ya washiriki wa Dance 100% wa Kundi la
Tatanisha Dancers wa Mabibo jijini Dar es Salaam, wakati
alipowatembelea kambini kwao Mabibo,wanakojiandaa na nusu fainali ya
shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya
Don Bosco Oysterbay.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhami
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi
la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake
katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujindaa na nusu fainali ya
shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya
Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa
na Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment