kuwa na Nuh kwasababu yeye na shilole ni marafiki, “hasa hizo tatoo
unazifanya nini ? .. hizo tatoo zako za shishi baby unazifanya nini ? au
na mimi unanichora hehe ? ” anasikika wema
Hii audio inaweza ikawa imevuja wakati mmbaya sana hasa ukizingatia ni kipindi ambacho mpenzi wake Nuh mziwanda, Shilole yupo kwenye matatizo
ya kufungiwa kujihusisha na kazi yoyote ya kisanaa. Audio hiyo
inaoneshwa ni ya muda kidogo kwasababu Wema anasikika akizungumzia kwenda kwenye KTMA.

No comments:
Post a Comment