Angali Style MpyaYa Chriss Brown - COW BOY BISHOO

Breaking

Wednesday, 16 July 2014

Angali Style MpyaYa Chriss Brown

Chris Brown hivi sasa ameingia kwenye headline na style yake mpya ya nywele ambayo ilikuwa maarufu sana kwa mastaa wa zamani.
Chris Briwn hatakuwa tena na nywele za brown lakini utamuona na nywele zenye wave kichwani na amezichana kwenye mafungu mawili akiacha way upande wa kulia.
Chris Breezy ali post picha yake na kuandika,”Taking it back to the 30s! Lol!,”. Unadhani amependeza na style hii au bora akiwa na nywere za kawaida au zile za brown. Comment mawazo yako.

No comments:

Post a Comment