Sikiliza Kisanga alichokiacha Kitale kwenye nyumba waliyoenda kuigizia filamu yake - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 18 July 2014

Sikiliza Kisanga alichokiacha Kitale kwenye nyumba waliyoenda kuigizia filamu yake

Kitale ambaye wiki kadhaa alikua anatengeneza filamu yake aliyoipa jina la Ndoa ya Teja sasa walipomaliza kurekodi kuna baadhi ya vitu hawakuviacha vizuri sehemu waliyoomba kufanya kazi hiyo.
Soudy Brown kampata mama mwenye nyumba iliyofanyika shughuli hiyo pamoja na Kitale mwenyewe,wote wamezungumza.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment