Tazama Picha, Cover La Wimbo Mpya Wa Young Killer, Kuna Harusi Inakuja - COW BOY BISHOO

Breaking

Sunday, 20 July 2014

Tazama Picha, Cover La Wimbo Mpya Wa Young Killer, Kuna Harusi Inakuja

 Rapper Young Killer Msodoki Ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ‘Umebadilika’ utakao toka July 22 2014.Mpaka sasa imefahamika kuwa kwenye wimbo huu kashirikishwa Banana Zorro na amefanya na producer wa Combination Sound Man Water.
Kwenye cover la wimbo huu anaonekana akiwa na video Queen maarufu bongo wakiwa wamevalia mavazi kama wako kwenye harusi.
LIKE FAN PAGE YANGU KUPATA KILA HABARI

No comments:

Post a Comment