Tazama Picha Mzigo Mpya Wa Jux Kuingia Sokoni Ivi Karibuni Click - COW BOY BISHOO

Breaking

Thursday, 17 July 2014

Tazama Picha Mzigo Mpya Wa Jux Kuingia Sokoni Ivi Karibuni Click




Kuwa na Clothing Line imekuwa kazi ya wasanii wengi duniani kama Nelly, Puff Daddy, Jay Z na Lil Wayne. Hapa Tanzania mpaka sasa wasanii kama Tmk Wanaume, Izzo Bizness wamekuwa na nguo zao wenye we na sasa Jux ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye clothing Line Tanzania
Kama picha inavyoonyesha nguo za Jux kama vest na T Shirt zitakuwa na picha yake. Kupitia Kurasa yake ya Facebook jux “My #25 JUX Vests Line zitaanza kuuzwa pale –> STAR LOOK – Sinza exclusively very soon! Zipo kwa jinsia zote kwa wanaume na wanawake pia!! #AfricanBoy ”

No comments:

Post a Comment