Tazama Picha Za Tattoo Nyingine Zilizotajwa Kuwa Ni Za Ajambu Duniani - COW BOY BISHOO

Breaking

Wednesday, 23 July 2014

Tazama Picha Za Tattoo Nyingine Zilizotajwa Kuwa Ni Za Ajambu Duniani









Tattoo inaweza kuwa urembo, kumbukumbu au jambo lingine kwenye mwili wa binadamu n mara nyingi watu hutumia tattoo kuchora kile kinacholeta maan flani kwenye maisha yao. Pamekuwa na aina tofauti za tattoo ili kukidhi hitaji la wateja ndio maana kwa sasa kuna tattoo zinazofutika kwa dawa au mionzi na hii inategemea ulichorwaje na kwa wino na mtindo gani.

No comments:

Post a Comment