Massege ya Diamond kwenda kwa Wema Sepetu ikiwa ni siku yake ya Kuzaliwa - COW BOY BISHOO

Breaking

Sunday 28 September 2014

Massege ya Diamond kwenda kwa Wema Sepetu ikiwa ni siku yake ya Kuzaliwa

Stori zikiwa zinaendelea mtaani kuhusu Diamond na Meninah sasa Leo Diamond kupitia Ukurasa wake wa Instagram.
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama

No comments:

Post a Comment