NEWS;;;;Said Fella Azungumzia Tetesi Za Bibi Cheka Kuacha Muziki Clik Picha Kusoma Zaid - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday 16 September 2014

NEWS;;;;Said Fella Azungumzia Tetesi Za Bibi Cheka Kuacha Muziki Clik Picha Kusoma Zaid

Manager wa Mkubwa na wanae Said Fella amezungumzia taarifa zilizosamba kuwa msanii wake Bibi Cheka ameacha muziki.
Said Fella amesema taarifa hizi sio za kweli kabisa na kwamba kaka Bibi Atataka kuacha muziki basi yeye kama manager wake ndiye atatoa taarifa hizo.
Fella ameongezea kuwa Bibi Cheka amekuwa akikutana na changamoto nyingi kama kusemwa vibaya na watu wa karibu yake kuwa anafanya muziki na watoto na kukosolewa kuhusu mavazi yake [Jeans] anayovaa kwenye jukwa.
Bibi Cheka anakuja na wimbo mpya umefanywa na Producer Shirko.

No comments:

Post a Comment