Young Dee Aingia Mkataba Mnono na king’amuzi cha Star Times - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday 27 September 2014

Young Dee Aingia Mkataba Mnono na king’amuzi cha Star Times

Rapper Young Dee ameingia mkataba mnono na kampuni ya king’amuzi cha Star Times ili kuwa balozi wa channel ya Qyou.

Akizungumza na Bongo5 leo, Young Dee amesema kuwa mkataba huo umempa mkwanja mzuri ili aweze kufanya kazi nzuri ya balozi.
“Nimesaini mkataba na Star Times kutumia image yangu na pia kama ambassador wa QYou channel ya vijana. Kwahiyo tutafanya press conference kwaajili ya kutangaza rasmi. Channel Itakuwa inaonyesha mambo ya entertainment kuhusu vijana. Kuhusu kunilipa ni mambo personal ila jua inanilipa vizuri ndio maana nimekubali kufanya kazi hiyo,” amesema Young Dee.

No comments:

Post a Comment