Download Soggy/Suma-G/Inspector/Juma Nature/Hammer Q Wakali wa hizi Kazi - COW BOY BISHOO

Breaking

Monday 20 October 2014

Download Soggy/Suma-G/Inspector/Juma Nature/Hammer Q Wakali wa hizi Kazi

Way Back Entertainment inakuletea mradi ambao utakuwa ukiwakutanisha wasanii wa zamani katika kurekodi pamoja nyimbo mpya na kufanya matamasha ya pamoja. Kwa kuanzia WAY BACK imewakutanisha kwenye wimbo mmoja wakali wafuatao SOGGY DOGGY,SUMA-G,INSPECTOR HARUN,JUMA NATURE NA HAMMER Q producer Q The Don akiwa ni Q the Don.

No comments:

Post a Comment