Picha Hizi Zina Onyesha Rapper Rick Ross Jins Alivyo pungua Tumbo Clik Kutazama - COW BOY BISHOO

Breaking

Sunday 19 October 2014

Picha Hizi Zina Onyesha Rapper Rick Ross Jins Alivyo pungua Tumbo Clik Kutazama




Rapper Rick Ross ambaye ndio mmiliki wa record lebel MMG amepunguza kilo zingine zaidi na sasa muonekano wake umabadilika sana. Mchakato wa kupunguza kilo na kuwa na afya bora ulianza mwaka moja nyuma baada ya Rozay kupata matatizo ya kiafya na kupoteza fahamu akiwa kwenye ndege.

No comments:

Post a Comment