PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN CLIK PICHA KUSOMA ZAID - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday 31 October 2014

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO OMAN CLIK PICHA KUSOMA ZAID

Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizunguma na Watanzania waishio nchini Oman akihitimisha ziara yake nchini humo Oktoba 29, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maalim Mahadhi nakushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh
Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014.

Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Baadhi ya watanzania waishio Oman wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014.

COW BISHOO TZ NDIO CHOMBO CHAKO CHA HABARI NA NYIMBO MPYA BASI TUWE PAMOJA HUKU PIA>>>>FACEBOOK>>>>>TWITTER>>>>>INSTAGRAM



No comments:

Post a Comment