AUDIO DITTO HERI YA CHRISTMAS DOWNLOAD HAPA - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday 25 November 2014

AUDIO DITTO HERI YA CHRISTMAS DOWNLOAD HAPA

Msimu wa Christmas ndiyo unatufikia sasa na wimbo wa kwanza wa Christmas ndiyo huu hapa kutoka kwa Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania pia ni mwimbaji na mwalimu wa muziki Tanzania House of Talent.

No comments:

Post a Comment