Audio Lady Jaydee Nimemuacha Gadner Sikiliza Hapa - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday 28 November 2014

Audio Lady Jaydee Nimemuacha Gadner Sikiliza Hapa

Hatimaye Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G Habash imevunjika. Akiongea leo kwenye Exclusive Friday Lady Jaydee amethibitisha kwa kauli yake mwenyewe kuwa ndoa yake na mtangazaji mkongwe wa redio, Gadner G Habash imevunjika. Sikiliza Hapo Chini

No comments:

Post a Comment