Download Q Chilla For You Free Music - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday, 20 December 2014

Download Q Chilla For You Free Music

Baada ya kukaa kimya bila kutoa ngoma mpya Mkali wa Bongo Flava Q Chief or Q Chilla jana amerelease ngoma yake mpya inaitwa "For You" akiizungumzia ngoma hiyo Chilla amesema anatarajia ifike mbali sana kwa kuvuka nje ya mipaka ya Afrika Mashariki, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla, kwa wakati huu Q Chia ame sign mkataba wa maisha na record label ya QS inayomilikiwa na mtaalamu wa majengo maarufu  anayeitwa Mhonda na kabla ya ku deal na Q Chilla amewahi ku deal na wasanii wengi wa bongo flava mfano ni Ney wa Mitego, QS wamepanga kumlipia Chilla Video yenye gharama kubwa nchini Afrika Kusini chini ya director namba moja wa Music Videos Africa "GODFATHER" na video itafanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2014 au mwanzoni mwa mwaka 2015 Stay tuned

No comments:

Post a Comment