Picha Za Chege Na Madee Wakifanya Video Afrika Kusini - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday 6 December 2014

Picha Za Chege Na Madee Wakifanya Video Afrika Kusini







Ukiacha Ali Kiba ambaye hivi karibuni alitufahamisha kuwa yuko Afrika kusini anafanya video ya Mwana Dar es salaam, wasanii wengine ambao wako na director Adam Juma South Africa wakifanya video ni Chege, Temba Na Madee.
Wasanii hawa wanafanya video ya wimbo waliorekodi na producer mkubwa Africa Kusini......................NDUGU NAOMBA TUWE PAMOJA HA KUHU PIA KUPATA STORI ZANGU NA KWA PICHA KIBAO>>>>>>>FACEBOOK>>>>TWITER>>>INSTAGRAM

No comments:

Post a Comment