Audio Nazizi Over You (Download Hapa) - COW BOY BISHOO

Breaking

Sunday 11 January 2015

Audio Nazizi Over You (Download Hapa)

Wimbo mpya kutoka Super star wa Reggae, Ragga na Dancehall kutoka nchini Kenya - Nazizi. Wimbo unaitwa OVER YOU na umeandaliwa na Producer SAPPY. Wimbo huu umetoka kwenye E.P. ya Nazizi iitwayo EVO LLUSION ambayo imetoka chini ya label ya Lovechild records.

No comments:

Post a Comment