Baada ya ngoma ya Diamond Platnumz 'Nasema nawee' kuvuja, Haya ndiyo maneno ya Babu Tale - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday 16 January 2015

Baada ya ngoma ya Diamond Platnumz 'Nasema nawee' kuvuja, Haya ndiyo maneno ya Babu Tale

Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.
Akiongea na tovuti ya MillardAyo, Babu Tale amesema binafsi ameshangaa  baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.


Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale.
Huu ndio wimbo uliovuja wa Diamond Platnumz uitwao Nasema Nawe Huu apo Chini:

No comments:

Post a Comment