Chid Benzi Alicho Post Baada Ya Nikki Mbishi Kutangaza Kuacha Mziki - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 2 January 2015

Chid Benzi Alicho Post Baada Ya Nikki Mbishi Kutangaza Kuacha Mziki

Rapper Nikki Mbishi leo ametangaza kuwa ameacha muziki
Rapper huyo ameelezea uamuzi wake wa kuachana na muziki kutokana na kutokunufaika chochote na kwamba hawezi kuendelea kuwa mtumwa mwa kiwanda cha muziki. NA AKA POST PICHA HII HAPO CHINI
 CHID BENZI AKA POST NAE PICHA HIYO HAPO CHINI KAMA KUMPA USHAURI NIKKI MBISHI
Follo Me COW BOY ISHOO TZ>>FACEBOOK>>>TWITER.>>>INSTAGRAM

No comments:

Post a Comment