Nay wa Mitego: Nikki Mbishi alichelewa kuacha muziki - COW BOY BISHOO

Breaking

Tuesday 6 January 2015

Nay wa Mitego: Nikki Mbishi alichelewa kuacha muziki

Kupitia exclusive interview na Power Jams, Ney wa Mitego amezungumzia hatua ya Nikki Mbishi ya kuacha muziki nakusema “Ukiona kitu hakikulipi ni bora uachane nacho, mtu anaweza kuangalia kitu na kujua hakimfai na bora afanye mambo mengine
Ney aliendelea kusema ” Sijui kwanini amechelewa, nimefurahi kuona maamuzi mazuri kijana mwenzangu aliyofanya, amejitambua na kuamua kuangalia vitu vingine, niko tayari kumshauri kama bado hajapata cha kufanya” .    

No comments:

Post a Comment