|
Jumapili
ya tarehe 25/01/2015 siku ya uzinduzi wa video ya Adam Mchomvu
"tiririka" iliyofanyika club billz,moja kati ya wasanii waliopanda
kwenye stage ni pamoja na T.I.D.....................
Wakati
msanii huyo amepanda kwenye stage,alipanda na ku perform nyimbo nusu
nusu lakini kilichio ingia kwenye headlines ni pale alipo anza kurusha
hela kwa mashabiki kwa kitendo cha kama diss kwa msanii mwenzake.
Siku
ya Jumamosi tarehe 24/01/2015 kabla ya show hiyo ya billz. katika
viwanja vya leaders kulikua na tamasha amabalo waliapanda wasanii kibao
ku perform.Kilicho make headline zaidi ni pale Diamond platnumz alipo
mwaga hela kwa mashabiki wakati akiwa kwa stage.
|
Sasa alichokifanya T.I.D ni kama malipizo kwa Diamond huku akitamka maneno machafu kwa msanii huyo,alisikika akisema
"mna kazi ya kumwaga hela kwa mashabiki lakini bado mazomewa*****
Alisikika
akiongea kauli hizo mara kwa mara.Mashabiki walio ingia kwenye show
hiyo walisema hilo ni dongo moja kwa moja kwa Diamond Platinumz kwani
hakuna msanii hivi karibuni aliefanya show na kumwaga hela kwa
mashabiki.
No comments:
Post a Comment