Audio;Shilole,Kajala, Keisha, Zamaradi, Mwasiti, Grace Matata, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Khadija Nito na Shamsa Ford ‘Simama Nami’. - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday, 28 February 2015

Audio;Shilole,Kajala, Keisha, Zamaradi, Mwasiti, Grace Matata, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Khadija Nito na Shamsa Ford ‘Simama Nami’.

Wasanii wa kike wa bongo fleva na bongo movie wameungana pamoja kurekodi wimbo wa kutokomeza na kukemea vitendo vya mauaji ya Albino vinavyoendelea Tanzania. Wasanii hawa ni pamoja na Shilole,Kajala, Keisha, Zamaradi, Mwasiti, Grace Matata, Linah, Irene Uwoya, Wolper, Khadija Nito na Shamsa Ford.

No comments:

Post a Comment