Video ; Diamond: Joh Makini aliwahi kunibania Collabo - COW BOY BISHOO

Breaking

Wednesday, 5 August 2015

Video ; Diamond: Joh Makini aliwahi kunibania Collabo

Ulikuwa unaifaham hii, kipindi Ndiamond alipokua anaanza muziki alikua anarap na katika ngoma yake ya kwanza Jisachi, alitamani kufanya na Joh Makini lakini ilishindikana na kufanya na Geez mabovu pamoja na Ngwea, Msikilize hapa Diamond akielezea.

No comments:

Post a Comment