Sikiliza ; Audio ya Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu - COW BOY BISHOO

Breaking

Saturday 1 August 2015

Sikiliza ; Audio ya Nuhu Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu

 Kwenye hii audio Wema anasikika akisimamia msimamo wake wa kuwa hawezi
kuwa na Nuh kwasababu yeye na shilole ni marafiki, “hasa hizo tatoo
unazifanya nini ? .. hizo tatoo zako za shishi baby unazifanya nini ? au
na mimi unanichora hehe ? ” anasikika wema

Hii audio inaweza ikawa imevuja wakati mmbaya sana hasa ukizingatia ni
kipindi ambacho mpenzi wake Nuh mziwanda, Shilole yupo kwenye matatizo
ya kufungiwa kujihusisha na kazi yoyote ya kisanaa. Audio hiyo
inaoneshwa ni ya muda kidogo kwasababu Wema anasikika akizungumzia kwenda kwenye KTMA.

No comments:

Post a Comment