DOWNLOAD | Madee - Abdu Bonge [Audio] - COW BOY BISHOO

Breaking

Thursday 31 December 2015

DOWNLOAD | Madee - Abdu Bonge [Audio]

DOWNLOAD HAPA
Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bongealienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki.
Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu kwenye siku hii ya December 31 ambayo marehemu Abdul Bonge kama angekua hai angekuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa,wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mj Records.

No comments:

Post a Comment