Licha ya video yake ya Loyal kuendelea kumuweka pazuri kwenye soko
lake la muziki, bado kwenye maisha binafsi ya Chris Brown mambo yake
hayapo vizuri.
Siku ya May 9 Chris Brown alihukumiwa siku 131 kwenda jela kwa baada
ya kwenda tofauti na masharti aliyopewa kutokana na kesi ya Rihanna.
Chris Brown hivi sasa ameachiwa huru baada ya kukaa jela siku 108 na
miezi michache ijayo kesi yake nyingine ambayo ilitokea Washington D.C
itaanza kusikilizwa.
Monday, 2 June 2014
New
HABARI KUHUSU CHRISS BROWN NA KESI ZAKE MAHAKAMANI SOMA NDANI

About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment