Kundi maarufu kwenye muziki wa Hiphop linalojumuisha wasanii kama 50
Cent,Llyoid Banks,Young Buck na Tony Yeyo waliwahi kutamba sana kwenye
muziki wakiwa kama kundi na solo artist.
Baada ya muda waligawanyika baada ya msanii Young Buck kujitoa na
hata utawala wao kwenye muziki ukapungua. Hivi sasa 50 cent amepost
picha ikidokeza kwamba kundi hilo limeungana tena kama zamani.
Picha hiyo inawaonyesha wasanii hao wanne wakiwa kwenye pamoja na 50
cent aliandika, “Things go the way I say they go.now I think it’s time
we get busy”.
Monday, 2 June 2014
New
KUNDI LA G.UNIT_LAUNGANA LASIMI KIKAZI,SOAM ZAIDI

About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment