HAYA MNAO PENDA KUVUTA SHISHA ZIME PIGWA MARUFUKU KENYA SOMA NDANI - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 27 June 2014

HAYA MNAO PENDA KUVUTA SHISHA ZIME PIGWA MARUFUKU KENYA SOMA NDANI

a na kwamba wengi wameamini haina madhara, huko Kenya madhara yameonekana baada ya aina 19 za ladha za Shisha kugundulika kuwa zimechanganywa na dawa za kulevya ikiwemo Cocaine, Heroine, bangi na kuberi.
Baada ya utafiti shirika la kupambana na mihadarati na dawa za kulevya nchini Kenya ndio limepiga marufuku utumiaji wa aina hizi za shisha ambapo yeyote atakaepatikana akiuza au kutumia aina hizo atafikishwa Mahakamani.

No comments:

Post a Comment