Rihanna akava jarida la Harper's Bazaar Arabia kwa mavazi ya 'Mwambao' soma ndani Baada ya kukava majarida mengi ya mitindo kwa mavazi tofauti na mengine yalimfanya aonekane amekiuka maadili, Rihanna amepata nafasi ya kulikava jarida la Harper’s Bazaar Arabia kwa mavazi ya Kiarabu ambayo ni maarufu sana katika mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki. Rihanna analing’arisha toleo la Harper’s Bazaar Arabia la July/August. Katika picha za jarida hilo, Rihanna anaonekana akiwa amefunika mwili mzima kuanzia kichwani hadi kidole cha mguu lakini bado anaonekana mwenye mvuto kama warembo wa Pwani ya Afrika Mashariki.maelezo soma ndani - COW BOY BISHOO

Breaking

Friday, 27 June 2014

Rihanna akava jarida la Harper's Bazaar Arabia kwa mavazi ya 'Mwambao' soma ndani Baada ya kukava majarida mengi ya mitindo kwa mavazi tofauti na mengine yalimfanya aonekane amekiuka maadili, Rihanna amepata nafasi ya kulikava jarida la Harper’s Bazaar Arabia kwa mavazi ya Kiarabu ambayo ni maarufu sana katika mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki. Rihanna analing’arisha toleo la Harper’s Bazaar Arabia la July/August. Katika picha za jarida hilo, Rihanna anaonekana akiwa amefunika mwili mzima kuanzia kichwani hadi kidole cha mguu lakini bado anaonekana mwenye mvuto kama warembo wa Pwani ya Afrika Mashariki.maelezo soma ndani

Baada ya kukava majarida mengi ya mitindo kwa mavazi tofauti na mengine yalimfanya aonekane amekiuka maadili, Rihanna amepata nafasi ya kulikava jarida la Harper’s Bazaar Arabia kwa mavazi ya Kiarabu ambayo ni maarufu sana katika mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki.
Rihanna analing’arisha toleo la  Harper’s Bazaar Arabia la July/August.
Katika picha za jarida hilo, Rihanna anaonekana akiwa amefunika mwili mzima kuanzia kichwani hadi kidole cha mguu lakini bado anaonekana mwenye mvuto kama warembo wa Pwani ya Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment