Dkt John ameeleza kuwa alikuwa anaendesha pikipiki katika mitaa ya
Tanga jana majira ya mchana kwa kuwa gari lake likuwa kwa fundi
likibadilishwa bodi, lakini alikutana na gari dogo ambalo dereva wake
alichelea kuzifuata sheria za barabarani na kusababisha ajali.
“Jamaa alikuwepo mbele yangu yeye hakuwasha endicator kama anakata
kulia kuelekea kwenye ofisi ya Raha Leo, matokeo yake mimi nikajua
ananyoosha atapita kwenye soko la Ngamiani. Mimi nikajichanganya kwenye
18, kumbe jamaa wala hanyooshi wala nini anakata bwana. Kwa hiyo akawa
anakata halafu ndio anawasha indicator. Kwa hiyo akanipush…nikamvaa
akanipush.”
Ameeleza kuwa alipata jeraha kubwa katika mguu wake wa kushoto bada
ya kidonda kuchimbika nusra aguswe katika mfupa na ameshonwa nyuzi nane.
“Goti limevunjika kidogo, kwa hiyo kesho nategemea kupata transfer
kwa ajili ya kuelekea Muhimbili ili nikatibiwe, kama itakuwa hivyo kwa
sababu kuna daktari mmoja ndio tunaemsubiria, kama atakuwa hajarudi
itabidi nikatibiwe Muhimbili kama wiki sita hivi.”
Tuesday, 3 June 2014
New
Hii Kuhusu Dkt John Wa Wagosi Wa Kaya Kunusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali
About Cow Boy Bishoo Tz
SoraTemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of SoraTemplates is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment